Home Events ‘MIUNO’ WALIYOKUTANA NAYO SEVILA AIRPORT BALAA/ WACHANGANYIKIWA NA NGOMA ZA KITANZANIA

‘MIUNO’ WALIYOKUTANA NAYO SEVILA AIRPORT BALAA/ WACHANGANYIKIWA NA NGOMA ZA KITANZANIA

0
93

Sevilla kutoka Hispania ipo nchini Tanzania ambapo leo hii imewasili.

Itacheza mechi ya kirafiki dhidi ya Simba Alhamisi Mei 23 uwanja wa Taifa Dar Es Salaam.

Abbas Tarimba kutoka Sportpesa amezungumza kuhusu ratiba ya Timu hiyo hapa Tanzania.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here