Home Uncategorized Diamond Platnumz aashiria tena juu ya Ujio wa Tamasha la Wasafi

Diamond Platnumz aashiria tena juu ya Ujio wa Tamasha la Wasafi

0
74

 

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma a.k.a Diamond Platnumz ameweka ishara nyingine ya ujio wa tamasha la Wasafi.

Kupitia ukurasa wake wa twitter, Mkali huyo wa wimbo Inama aliomshirikisha Fally Ipupa aliapost juu ya ujio wa tamasha hilo kwa kuandika ‘WASAFI FESTIVAL 2019’.

Diamond alisha eleza kuwa tamasha hilo litafanyika karibuni alipokuwa kielekea kwenye Show yake pekee iliyofanyika sikukuu ya Eid Mosi na Eid Pili Wilayani Kahama na mkoani  Geita.

Hata hivyo kwa mujibu wa Mahojiano ya hivi karibuni ya Staa huyo, alidai kuwa maandalizi yatakuwa makubwa kwa lengo la kuwa kuukuza muziki wa Tanzania.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here