Home News Ringtone Aibuka Tena Na Sakata la Kutafuta Mke Na Mrembo Wolper

Ringtone Aibuka Tena Na Sakata la Kutafuta Mke Na Mrembo Wolper

0
75

Sakata la Mwimbaji wa muziki wa Injili nchini Kenya, Ringtone kutafuta Mke limeibuka na Mrembo Mfanyabiashara kutoka Tanzania, Jacqueline Wolper.

Mwimbaji huyo alionekana mara kadhaa kwenye mitandaoni na bango lililoeleza yeye kutafuta mke kama alivyokaririwa katika baadhi ya Mahojiano na vyombo vya habari.

 

Ringtone ameachia wimbo wake mpya uitwao ‘Natafuta Bibi’ uliotayarishwa na Producer Teddy B huku video ikiongozwa na Director Hanscana.

Kwenye video hiyo mbali na kubeba maudhuhi ya Ringtone kutafuta Mke Pia Mrembo Wolper kutoka Tanzania ametumika kama Video Vixen katika nafasi ya Ringtone kupata Mke.

Itazame Video ya Wimbo hapa Chini.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here