Victoria Kimani ataka jibu la mashabiki kuhusu kufanya kazi na Ne-Yo

0
74

Staa wa muziki kutoka Kenya, Victoria Kimani amerusha swali kwa mashabiki kuhusu kufanya kazi ya pamoja na Staa wa Marekani, Shaffer Chimere Smith a.k.a Ne-Yo.

Victoria alipachika picha kwenye ukursa wake wa Instagra akiwa na Ne-Yo na kuweka maelezo ya kufikiri kufanya muziki wa pamoja na Staa huyo.

“I think we should make some music together @neyo…”.

Hata hivyo wazo lake hilo, aliliondoka katika maelezo ya fikira zake binafsi na kutaka pia mashabiki waseme neno, ambapo alimalizia kwa kuuliza “What do you guys think?”.

Ni unafikiri ni muziki wa aina gani utatokea endapo wawili hawa watafanya kazi ya Pamoja?

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here