Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania, G Rico Clasic ameachia video rasmi ya wimbo wake mpya ‘Mwiba’.

Wimbo huo ulioandaliwa na watayarishaji J Moster na Davy Machords, video yake ikiongozwa na Director Vipper nchini Tanzania.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here