Msanii wa muziki kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo mwenye makazi yake nchini Marekani, Mandi Classic amefanikiwa kumrejesha aliyepelekea wazo la wimbo wake ‘Nimemiss’.

Mandi Classic katika Pozi la Picha

Mandi aliyeachia wimbo huo wiki kadhaa zilizopita alidai kukosa penzi la mpenzi wake ilimpeleka kufanya wimbo huo uliozaa matunda ndani ya muda mfupi ya kumrejesha mapenzi wake ambaye hakutaka kumuweka wazi.

Mandi aliongeza kuwa, kutokana na hilo lililorejesha furaha kwake, aliahidi mashabiki kupokea nyimbo kadhaa zenye uandhishi wenye furaha katika mapenzi kwakuwa ni hisia anayoipita kwa sasa.

Usikilize hapa wimbo huo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here