Staa wa muziki Mwenye asili ya Omani na Tanzania, Hamdan Al Zakwani a.k.a Danzak ameachia rasmi video ya wimbo wake mpya kwa jina ‘Machejo’.

Mkali huyo anayeendelea kufurahia mapumziko ya likizo yake nchini Tanzania, wimbo wake huo alioachia umekamilika katika utayarishwaji wa Aloneym huku video ikiongozwa na Director Ivan.

Itazame video ya wibo huo mpya hapa chini.

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here