Staa wa muziki kutoka nchini Burundi mwenye Mkazi yake nchini Marekani, Bad Man Isi ameachia video rasmi ya wimbo wake mpya kwa jina ‘Give Me Some More’.

Wimbo huo uliobeba maudhui ya Mapenzi, umeandikwa kwa Lugha tatu tofauti ikiwa ni Kiingereza, Kiswahili na Kirundi.

Video ya wimbo huo iliyozingatia maadili imengozwa chini ya Director Chris Mule wa KKT Productions.

Itazame Video ya wimbo huo hapa chini.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here