Staa wa muziki kutoka Burundi, mwenye makazi yake nchini Marekani, Bad Man Isi ameleza mpango wake kabla ya Mwaka 2019 kumalizia, baada ya kuachia wim bo wake uitwao ‘Give me some more’.

Akiwa Insta Live, Isi alidai kuwa ameamua kubadili mpango wako wa kuachia wimbo mwingine kabla Mwaka 2019 haujamalizika kutokana na idadi ya maoni chanya kuhusu wimbo wake wa sasa sokoni.

“…asante kila mmoja…Mmefanya niasiachie wimbo mwingine sasa kwa gisi umnaonesha kufurahia Give me some more…My Plan was to give you some more before end of this year…” Alisikia Isi.

Hata hivyo Isi aliongeza kuwa kwa waliokuwa na kiu ya kusikia wimbo mwingine Mpya baada ya ‘Give me some more’ wasiwe na shaka kwani anaweza kuaachia kazi nyingine mapema mwakani.

Itazame video ya wimbo wako ‘Give Me Some More’.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here