Mastaa wa wimbo ‘Ololufe’ kutoka nchini Nigeria, Chidinma na Mr Flavour kuachia EP Novemba 18 Mwaka huu.
Kabla ilihisiwa kuwa wawili hao wamefunga Ndoa kabla ya taarifa za kuwa wana Ujio wa EP yao ya Pamoja itakayokwenda kwa jina ‘40Yrs (Everlasting)’.