Home News Ruby Na Nviiri the Storyteller waingia Jikoni, Atangaza EP yake.

Ruby Na Nviiri the Storyteller waingia Jikoni, Atangaza EP yake.

0
53

Staa wa muziki kutoka Tanzania, Ruby ameingia Studio na Mwimbaji anayeunda kundi la muziki la Sol Generation la nchini Kenya, Nviiri the Storyteller.

Nviiri the Storyteller

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Ruby alijitaja kuwa kazini kufanya kolabo na Staa huyo hata kuongeza kuwa mashabiki wakae tayari kwa mkao wa kuishibiria EP yake.

Hata hivyo, Ruby hakuweka wazi kama kolabo yake na Nviiri the Storyteller ni kati ya nyimbo zitakazo kuwa kwenye orodha ya nyimbo zitakazo kamilisha EP yake.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here