Staa wa muziki wa Dancehall kutoka nchini Tanzania, Dj Davizo ameachia wimbo wake mpya kwa jina ‘Hakuna Mfano’.

Wimbo huo ulioandaliwa chini ya studio za Wanene Rec nchini Tanzania, video yake imeongozwa na Director maarufu Jordan Hoechlin.

Director Jordan Hoechlin

Itazame video ya wimbo wake huo moya hapa chini.

 

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here