Mkali wa wimbo ‘Paraza’, Bazil Hazil ameufunga Mwaka 2019 na Nyingine kwa upishi wa Producer Kimambo na Director Joma.

Kutoka kwake Utayarishaji huu unajirudia tena kwakuwa mwimbo wake ‘Paraza’ pia ulipikwa kwa mfuatano kisha kukamilishwa na wawili hao.

Kimambo alitimiza wajibu wake katika jiko lile lile na Director Joma akinogesha picha ya Video ya wimbo huo kwa mpangilio wa locations tofauti.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here