Home Uncategorized Shadrack Mule Aweka Ushuhuda wa maisha yake ndani ya Wimbo wake Mpya...

Shadrack Mule Aweka Ushuhuda wa maisha yake ndani ya Wimbo wake Mpya ‘Yahweh’.

0
73

Mwimbaji wa muziki wa Injili kutoka nchini Kongo mwenye Makazi yake nchini Marekani, Shadrack Mule ameeleza kilichomksukuma kuachia rasmi wimbo wake mpya kwa jina ‘Yahweh’.

Akizungumza na DizzimOnline kwa njia ya simu moja kwa moja kutoka Mjini New York, Shadrack alitoa sababu zilizomsukuma kufanya wimbo huo kuwa ni usalama na uzima katika maisha ya waliobahatika kuiona siku mpya.

“Ninachokiona kwenye wimbo wangu ni maono ya Baraka ya maisha, uhai na uzima wa afya. Watu wengine hawiaoni siku kabisa” Alisema.

Hata hivyo Sharack aliongeza kuwa wazo la wimbo huo ni taswira ya maisha yake tofauti na walioshindwa kuiona siku mpya.

Itazame video ya wimbo wake huo hapa.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here