Home Uncategorized Sauti Sol Kuianza Safari Rasmi Chini Ya Universal Music Group

Sauti Sol Kuianza Safari Rasmi Chini Ya Universal Music Group

0
26

Kundi la muziki la Sauti Sol kutoka Kenya, kuachia wimbo wao wa kwanza kutoka kwenye la album yao ijayo, ‘Midnightrain’.

Wimbo kwa jina ‘SUZANNA’ utaachiwa rasmi Ijumaa hii ukiwa ni wimbo wao wa kwanza kama Kundi kuachiwa kwa Mwaka 2020.

Hata hivyo kundi hilo linaufungua mwaka huu kwa kazi hiyo chini ya kampuni ya usambazaji muziki Duniani, Universal Music Group.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here