Home Uncategorized Shetta Achomoza 2020 Kwenye Kolabo Na Rhino The Don kutoka Marekani

Shetta Achomoza 2020 Kwenye Kolabo Na Rhino The Don kutoka Marekani

0
10

Msanii Rhino The Don anayeishi Marekani ameachia wimbo ‘Wekaa’ aliomshirikisha rapper Mtanzania Shetta.

Wimbo huo uliofanyika bila wawili hao kukutana uso kwa uso, umetayarishwa na Producer Kimambo nchini Tanzania.

Video ya wimbo huo imeongozwa kwa uandaaji wa ushirikiano wa Director Ivan nchini Tanzania na Even Moore, Marekani.

Pamoja na kuwa wimbo huu umetoka mwanzoni mwa mwaka 2020, umekuwa kibindinu kwa takribani Mwaka sasa.

Itazame video ya wimbo wao hapa.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here