Msanii wa muziki nchini Tanzania maarufukama Dj Davizo ameachia mkwaju mpya wa kuufungua Mwaka 2020, aliomshirikisha Cardi B wa Bongo, Gigy Money unaokwenda kwa jina ‘Sedere’.

Wimbo huo ulioachiwa chini ya Bunduki Music ulio katika maadhi ya kuchezeka na kuruka kiwanja, ulitayarishwa na Producer Goncher Beatz katika Studio za Wanene na video yake kuongozwa na Director Jordan Hoechlin.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here