Nyota wa muziki kutoka Tanzania, Ambwene Allen Yessayah ‘AY’ anaendelea kubaki na heshima ya kati ya wasanii wenye mchango mkubwa kwenye muziki wa kizazi kipya nchini.

AY kwa sasa katika maisha yake ya biashara na muziki kwa ujumla katika kwenda sawa na utandawazi kwenye ulimwengu wa mawasiliano amechagua kuitumia simu mpya kutoka Infinix, ‘Infinix Note 7’ inayompa furaha ya matumizi.

AY akifurahia Simu Janja kutoka Infinix

Mara kadhaa amekuwa akieleza ubora wa simu hii kwa namna inavyomrahisishia kazi na mambo yake kwenda fasta kwani bila changamoto katika kila kitu kupitia simu yake hiyo.

AY mkononi akiwa na simu janja kutoka Infinix

Hakika simu hii imezingatia Ubora kwa mtumiaji.

#BIGIMAKINI #Infinix #Note7 #InfinixNote7.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here