Home Uncategorized Chief Wonder Kudondosha EP Yake Ya Kwanza Chini Ya Mazuu Records

Chief Wonder Kudondosha EP Yake Ya Kwanza Chini Ya Mazuu Records

0
28

Msanii wa muziki nchini Tanzania,¬†AbdulKareem Haroun a.k.a ‘Chief Wonder’ kutoka lebo ya Mazuu Recrds ametangaza kuachia EP yake ya kwanza hivi karibuni.

Wonder anayefanya kazi chini ya mkataba na lebo hiyo, Mei 10, 2020 kupitia YouTube channel ya lebo hiyo alitangaza ujio huo ikiwa ni siku chache tangu ameachia wimbo wake wa kwanza ‘De Amor’ chini ya lebo hiyo.

EP yake itatoka rasmi chini ya lebo hiyo na

Msikilize Chief Wonder katika Dakika tano za Maelezo ambayo alisikika kutangaza ujio wa EP yake ya kwanza chini ya Mazoo Records.

Usikilize wimbo wake huo ‘De Amor’ hapa chini.

 

 

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here