Home Uncategorized Diamond Platnumz atangaza hatua ya ‘Wasafi Tower’.

Diamond Platnumz atangaza hatua ya ‘Wasafi Tower’.

0
31

Nyota wa muziki nchini Tanzania, Nseeb Abdul Juma a.k.a Diamond PlatnumzĀ amehisiwa kuwa katika hatua za mwisho za ujenzi wa Mnara wa Wasafi.

Kupitia ukurasa wake wa twitter, Diamond aliandika kuwa mnara(Tower) huo ambao unaaminika utakuwa ni jengo umefikia 80%, ujumbe uliohisiwa kuwa jengo hilo limefikia hatua nzuri.

Diamond kipindi cha miaka kadhaa ya nyuma alishaeleza kutaka kuwa na jengo kubwa la kibiashara chini ya wasafi na sasa inaaminika kuwa liko katika hatua za asilimia hizo tajwa kwenye ujumbe wake.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here