Nyota wa Muziki kutoka Tanzania ‘Juma Jux’ ameonesha uwezekano wa kufanya kazi ya kushirikiana na mwimbaji Hanstone na Rappers Moni Centrozone na Joh Makini chini ya utayarishaji wa Mkali wa midundo nchini S2Kizzy.
 
Hilo linaonekana kupitia video kadhaa kwenye Insta Story ya Jux ambao wakali hao walionekana kuwa katika jukumu la kushirikiana kuandaa kazi katika mazingira ya Studio zilizoko nyumbani kwa Jux.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here