Wasanii wa muziki kutoka Tanzania, Rapper Kala Jeremiah na Mwimbaji Malaika wameachia wimbo wa kushirikiana wakizungumzia vita dhidi ya janga la ugonjwa Corona uliopewa jina ‘Corona Ipo’.

Wimbo huu ni wa kwanza kutoka kwa Kala Jeremia baada ya kukaa kimya kwa mwaka mzima bila kuachia wimbo wowote sasa ameshirikiana na Malaika kwenye wimbo huu mpya.

Utazame hapa chini.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here