Home News Mattan – Najiuliza (Official Video)

Mattan – Najiuliza (Official Video)

0
39

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania, ‘Mattan’ ameachia video rasmi ya wimbo wake mpya ‘Najiuliza’ kupitia mtandao wa YouTube, Mei 8 2020.

Akisikika kuwa mwenye kuumizwa na kushindwa kumsahau aliyekuwa mpenzi. Wimbo huu umetayarishwa na Producer Aloneym huku video ya wimbo huo ikiandaliwa na Director Adam Juma.

Tazama video ya wimbo huo hapa chini.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here