Ikiwa Rapper Meek Mill kutoka nchini Marekani ametimiza umri wa miaka ’33’ Mei 6 2020, tarehe hiyo imekuwa ya Bahati kwake na Mapenzi wake Milan Harris.

Meek kupitia ukurasa wake wa twitter alitweet kuwa tarehe hiyo ndo siku ambayo mpenzi wake Milan alijifungua mtoto wao wa kiume.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here