Nyota wa muziki nchini Tanznaia, Nedy Music amesema kuwa kinachosikika kwenye kwenye wimbo wake mpya ‘Acha Iwe’ sio kisa kilichomtea yeye kama baadhi ya amshabiki wanavyodhani.

Nedy alieleza kuwa alichoimba kwenye wimbo huo ni kujaribu kuwakilisha mawazo ya wapenzi ambao walisha pitia kutendwa kimapenzi na kuamua kuacha na kukbaliana na hali ya kutendwa..

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here