Msanii wa muziki nchini Tanzania, Sammy John ameachia wimbo wake rasmi wa tatu unaokwenda kwa jina  ‘Nawe’ uliotayarishwa na Producer Slim Nipe Beat huku video ikiongozwa na Director Sniper jijini Dar es Salaam.

Msikilize Sammy katika maelezo mafupi ya kuhusu wimbo wake huu alioutajwa kuwa ni kati nyimbo za tofauti sana na nyimbo zinazoandaliwa na baadhi ya wasanii nchini Tanzania.

Itazame Video ya wimbo huo hapa chini.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here