Wasanii wapya chini ya lebo ya muziki ‘Taurus Musik’ yenye makao makuu yake nchini Kenya, Keemlyf na Tallie wameachia kazi zao za kwanza chini ya lebo hiyo.

Keemlyf ameachiwa wake wa kwanza unaokwenda kwa jina ‘Pita na wewe’ na Tallie ameachia wimbo wake kwa jina ‘Bugia’.

Tallie

Wimbo wa Keemlyf umetayarishwa chini ya usimamizi wa lebo hiyo, video ya wimbu huo ikiongozwa na Director Trey Juelz.

Keemlyf

Tanzama video ya wimbo huo wa Keemlyf kapa chini.

‘Bugia’ wa Tallie nao pia umetoka sabamba na video yake iliyoongozwa na Directo yule yule, Trey Juelz.

Tazama video ya wimbo huo wa Tallie hapa chini.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here