Home Uncategorized Uhondo wa Tamthilia ya ‘Nyavu’ Kupamba Moto Ndani ya DSTV

Uhondo wa Tamthilia ya ‘Nyavu’ Kupamba Moto Ndani ya DSTV

0
25

Ikiwa ulifanikiwa kutazama tamthilia ya Nyavu wiki iliyopita basi utakuwa unaelewa uhondo ndani yake.

Naa ikiwa hukuifuatilia wiki iliyopita basi hujachelewaa mbambo ndo kwanza yanaanza. Nini kuendelea baada ya mrembo FIFI anayejikuta akianzisha mahusiano na kijana STON maarufu ‘SHAFI’, ambapo baadae FIFI anagundua ukweli uliokuwa umejificha juu ya maisha ya STON?

Fuatilia Tamthilia hii Nyavu inayoruka kila siku za Jumatatu – Jumatano saa 1:30 usiku kupitia chaneli @maishamagicbongo 160 ndani ya DStv pekee kwa kifurushi cha Bomba 19,000 tu.

#MMBNyavu
#TupoNawe

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here