Wasanii kutoka lebo ya muziki ya WCB Wasafi wakiongozwa na Mkururugenzi wa Lebo hiyo Diamond Platnumz, wamekutana kwenye wimbo wa pamoja kwa jina, ‘Quarantine’.

Kwa kupokezana baada ya Diamond Platnumz, Rayvanny, Mbosso, Lava Lava, Queen Darleen na Zuchu wanajiachia kwa ushairi wakieleza hali wanavyojituliza majumbani ‘Quarantine’.

Itazame video ya wimbo huu hapa chini.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here