Mwimbaji kutoka Kongo anayeishi Phoenix Arizona nchini Marekani, Bahati Bwingi maarufu kama ‘Babbi Music’ ameachia video ya wimbo mpya ‘When I am with You’.

Babbi mwenye EP kwa jina ‘Mti’ sokoni inayofanya vizuri katika plafotms mbalimbali anaachia wimbo mpya ikiwa ni Single yake rasmi ya kwanza kuiachia kwa mwaka 2020.

Wimbo huo wa mapenzi katika uandishi anaeleza namna anavyo anamhitaji na mpenda kwa dhati mpenzi wake.

Wimbo huo umetayarishwa na David Pro huku video ikiongozwa chini ya Tembo Studio kwa ushirikiano wa waongozaji wawili, Citoyen na Gustave.

Tazama video ya wimbo huo hapa chini.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here