Home Uncategorized Buffalo Souljah aachia Dude Jipya ‘No Man Bigger Than God’

Buffalo Souljah aachia Dude Jipya ‘No Man Bigger Than God’

0
16

Msanii wa muziki wa Dancehall na Reggae kutoka Zimbabwe mwenye makazi yake nchini Afrika Kusini, Buffalo Souljah ameachia rasmi wimbo wake mpya kwa jina ‘No man bigger than God’.

Mkali huyu ni kati ya masataa wa muziki huo mwenye mtiririko mzuri wa kufanya kazi na wasanii wakubwa Barani Afrika ameshashirikiana na wakali kama vile 2Baba, Casper Nyovest, Cabo Snoop, Anatii na Nasty C.

Buffalo Soujah ameendele akupata heshima ya kufanya vizuri katika kiwanda cha muziki muziki wa Raggae na Dancehall kutokana na kazi zake kufanya vizuri zaidi katika chati mbalimbali ndani na nje ya Afrika.

Usikilize weimbo wake mpya hapa chini

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here