Msanii wa muziki kutoka nchini Kongo mwenye makazi yake nchini Australia ‘Lacreamena’ ameachia rasmi wimbo wake wa kwanza Chini ya lebo Spark Music kwa jina ‘OiOiOi’.

Mkali huyu aliyechukua muda mrefu kufanya maamuzi ya uingia rasmi kwenye muziki sasa amekata utepe ambapo baada ya audio hii anatarajia kuachia video rasmi ya wimbo wake huo uliofungua ukurasa wake wa kwanza wa sanaa kama mwimbaji.

View this post on Instagram

Looking good thank you God🙏

A post shared by lacreamena (@lacreamena) on

View this post on Instagram

Out already today

A post shared by lacreamena (@lacreamena) on

Usikilize wimbo wake huo hapa.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here