Home Uncategorized Mkono wa Producer Naroh wakamilisha ‘Nitalala’ ya Japhee

Mkono wa Producer Naroh wakamilisha ‘Nitalala’ ya Japhee

0
32

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania, Japhet Cosmas a.k.a Japhee, ameachia rasmi wimbo wake mpya kwa jina ‘Nitalala’, Juni 12 2020.

Cover ya Wimbo ‘Nitalala’

Japhee anayefanya kazi za muziki wake chini ya lebo ‘M T Money Team Recods’ aliachia wimbo huo uliotayarishwa na Producer Naroh, ambapo unapatikana kwenye YouTube Channel yake ‘Japhee Tz96’.

Producer Naroh

Usikilize wimbo huo hapa chini.

Ikiwa muziki sanaa ya muziki inazidi kufika mbali zaidi na wasanii wenye uwezo wanajitokeza kuonesha uwezo wao, tunakuomba usichoke kuenedelea kuwashika mkono wote wenye nia ya kufika ppazuri kwa kipaji kili chobora.

 

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here