Mwimbaji wa muziki wa Injili Mtanzania anayeishi nchini Marekani, Ezekeil John ameachia rasmi video ya wimbo wake mpya Uitwao ‘You Got Me Dacing’.

Ezekeil John

Wimbo huo ulitoka sambamba na video yake iliyoandaliwa chini ya ushirikiano wa kampuni mbili ambazo ni, Rj Media Na Frederick Films.

Hata hivyo Ezekeil ameuandaa mwenyewe wimbo wake huo kisha ukakamilishwa na Mtayarishaji wa nchini Tanzania, Kimambo Beats.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here