Mwanamuziki mashuhuri wa nchini Kenya, Wilson Abubakar Radido maarufu kama Willy Paul ametangaza mipango wa kuachia wimbo wake mpya aliomshirikisha mwanakikundi wa Sauti Sol, Bien-Aimé Baraza.

Kupitia  ukurasa wake wa Instagram, Willy Paul aliweka picha yake akiwa na mwimbaji Bien katika kile kinachoonekana kuwa wameshoot video, na kuwapa taarifa mashabiki wake kujiandaa na kolabo kubwa ya mwaka.

Post ya Willy Paul kwenye.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here