Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) imesema mchezaji Bernard Morrison ameshinda kesi yake dhidi ya klabu ya Yanga na ataendelea kuwa mchezaji halali wa Simba baada ya mapungufu kukutwa kwenye mkataba baina ya Yanga na Morrison.

Bernard Morrison

 

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here