Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Kenya, Calvin Odiwuor Rocky maarufu kama Rocky C ameweka taarifa ya kuwa ataachia EP yake ya kwanza hivyi karibuni.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Rocky C alieleza kuwa EP yake hiyo itakwenda kwa jina ‘LOVE SESSION’ itakayokamilishwa na idadi ya nyimbo 7.

Hata hivyo Rocky hakuweka bayana kama atashirikisha wasanii wa nchini Kenya au nje ya Kenya hivyo haikueleweka kama wimbo alioshirikiana na Enock Bella utapatikana kwenye EP hiyo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here