Nyota wa muziki kutokea nchini Tanzania, Barakah Andrew maarufu kama Barakah The Prince ameachia rasmi video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Sawa’.

Wimbo wake huu umetoka na kutambulishwa chini ya lebo yake mwenyewe, ‘Bana Music Lab’, audio ikitayarishwa Producer Deey Classic akishirikiana na Foxx Beatz, huku video ya wimbo huo ikiongozwa na Director Jordan Hoechlin nchini Tanzania.
Tazama video ya wimbo wake hapa chini.