Msanii wa muziki wa kizazi kipya mzaliwa wa Tanzania mwenye makazi yake nchini Marekani, ‘MrLambert’ ameachia wimbo wake mpya, ‘Mhm Aha’.

‘MrLambert’ ambaye jina lake kamili ni Lambert Mule, aliachia rasmi wimbo wake huo mpya sambamba na video iliyoongozwa na kuandaliwa nchini Marekani.

Mr. Lambert

Lambert mwenye uwezo mkubwa wa kuandika na kuimba maadhi ya muziki wa kiafrika, kwa sasa anafanya kazi chini ya usimamizi wa ‘For My Brother Music’.

Itazame video ya wimbo mpya hapa chini.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here