Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutokea nchini Kenya, Yangy ameachia video rasmi ya wimbo wake mpya, ‘Balaa’ chini ya FOWESO STUDIO.

Yangy

Yangy anatajwa kati ya waimbaji wanaopanda chati kwa kasi nchini humo huu ukiwa ni wimbo wake mpya unaohisiwa kuwa ataufungia mwaka huu wa 2020.
Itazame Video ya wimbo wake huo mpya hapa chini.

Kabla ya wimbo huu mpya, awali Yangy alifanya vizuri Zaidi na wimbo wake unaokwenda kwa jina, ‘Utaniua’.

Utaniua Video

1 COMMENT

Leave a Reply to Hope Cancel reply

Please enter your comment!
Please enter your name here