Saturday, January 16, 2021

News

Nedy Music Akanusha kuimba Kilichomkuta kwenye ‘Acha Iwe’

Nyota wa muziki nchini Tanznaia, Nedy Music amesema kuwa kinachosikika kwenye kwenye wimbo wake mpya 'Acha Iwe' sio kisa kilichomtea yeye kama baadhi ya...

Mattan – Najiuliza (Official Video)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania, 'Mattan' ameachia video rasmi ya wimbo wake mpya 'Najiuliza' kupitia mtandao wa YouTube, Mei 8 2020. Akisikika...

Rapper Tekashi69 Aingia Kwenye Rekodi Mpya Baada Ya Kutoka Jela

Rapper kutoka Marekani, Tekashi69 au 6ix9ine ameingia kwenye rekodi ya ‘Instagram Live’ ya kuwa Nyota wa muziki wa rap aliyetazamwa na watu wengi zaidi ‘Live’...

Lady Jaydee Athibitsha Kolabo Ya Pili 2020, Mara Hii Yuko Na...

Mkongwe wa Bongo Fleva, Lady JayDee amethibitisha kuwa kwenye kolabo na Msanii wa muziki kutoka lebo ya MMB, Dogo Janja. Kolabo hiyo na Janja, Jide...

Sammy John Ajitofautisha Na Wasanii Wengine Wa Bongo Fleva kwa ‘Nawe’

Msanii wa muziki nchini Tanzania, Sammy John ameachia wimbo wake rasmi wa tatu unaokwenda kwa jina  'Nawe' uliotayarishwa na Producer Slim Nipe Beat huku video...

Meek Mill Apata Mtoto Wa Kiume Siku Ya Kumbukumbu Ya Kuzaliwa...

Ikiwa Rapper Meek Mill kutoka nchini Marekani ametimiza umri wa miaka '33' Mei 6 2020, tarehe hiyo imekuwa ya Bahati kwake na Mapenzi wake...

Chief Wonder Aachia ‘De Amor’ chini ya Mazuu Records

  Msanii kutoka Studio za Mazuu Records nchini Tanzania, 'Chief Wonder' ameachia audio ya wimbo wake mpya kwa jina 'De Amor'. Wimbo huo umatayrishwa katika studio...

Gigy Money Na Dj Davido Wapunguziana Mawazo Ki ‘Sedere’

Msanii wa muziki nchini Tanzania maarufukama Dj Davizo ameachia mkwaju mpya wa kuufungua Mwaka 2020, aliomshirikisha Cardi B wa Bongo, Gigy Money unaokwenda kwa...

Dj Davizo Ajitupa Kimataifa Mpaka Kwa Director Jordan Hoechlin

Staa wa muziki wa Dancehall kutoka nchini Tanzania, Dj Davizo ameachia wimbo wake mpya kwa jina ‘Hakuna Mfano’. Wimbo huo ulioandaliwa chini ya studio za...

Ruby Na Nviiri the Storyteller waingia Jikoni, Atangaza EP yake.

Staa wa muziki kutoka Tanzania, Ruby ameingia Studio na Mwimbaji anayeunda kundi la muziki la Sol Generation la nchini Kenya, Nviiri the Storyteller. Kupitia ukurasa...
- Advertisement -

GOSSIP