Thursday, February 20, 2020

News

Mandi Classic – Nimemiss (Music Video)

Msanii wa muziki kutoka nchini Kongo mwenye makazi yake nchini Marekani, Mandi Classic ameachia video rasmi ya wimbo wame 'Nimemiss'.   https://www.youtube.com/watch?v=rmviWQZ8vUk

Harmonize awapa zawadi ya Magari wazazi wake

Staa wa muziki kutoka lebo ya WCB Wasafi, Rajab Abdul Kahali a.k.a Harmonize amewapa zawadi ya magari  mawili ya aina moja wazazi wake. Staa huyo...

Mahakama yatoa Agizo la Wema Sepetu kukamatwa

  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa hati ya kukamatwa kwa Msanii wa Filamu Tanzania, Wema Sepetu kwa kukiuka masharti ya dhamana. Uamuzi huo umetolewa na...

Diamond Platnumz aweka video ya wimbo ‘Kanyaga’ hewani

Mstaa wa muziki kutoka Tanzania, Diamond Platnumz ameachia rasmi Video ya wimbo wake 'Kanyaga' iliyoongozwa na Director Kenny chini ya Zoom Production. Itazame Vide ya...

Nedy Music na Singah kutoka Nigeria njiani kuwasha Moto

Staa wa muziki nchini Tanzania, Nedy Music yuko mbioni kuachia video ya wimbo aliomshirikisha Staa wa wimbo ‘Teyamo’, Singah kutoka Nigeria. Video ya wimbo huo...

MPOKI afunguka anachoumwa VENGU/SIPENDI kukaa na WASANII/Nampenda VANESA/Amefika Mpaka CHUMBANI

MPOKI afunguka anachoumwa VENGU/SIPENDI kukaa na WASANII/Nampenda VANESA/Amefika Mpaka CHUMBANI

ZARI AMEJIBU MASWALI YA WAANDISHI: ISHU YA MAPENZI YA WATANZANIA, MAPOKEZI...

ZARI AMEJIBU MASWALI YA WAANDISHI: ISHU YA MAPENZI YA WATANZANIA, MAPOKEZI NA KUHUSU WATOTO WAKE

SAMATTA AWAFUATA MESSI, RONALDO, NEYMAR/ WABELGIJI WAKUBALI MZIKI WAMTUNGIA WIMBO

SAMATTA AWAFUATA MESSI, RONALDO, NEYMAR/ WABELGIJI WAKUBALI MZIKI WAMTUNGIA WIMBO

Jengua ashusha kipigo kwa Bongo Movie.

Jengua ashusha kipigo kwa Bongo Movie.

The Mafik – Bobo (Official Music Video)

Kundi la muziki nchini Tanzania, The Mafik limeachia video ya wimbo wao mpya 'Bobo' iliyoongozwa na Kwetu Studio. Audio imetayarishwa na Producer John Blaze. Itazame...
- Advertisement -

GOSSIP