Tuesday, September 29, 2020

Uncategorized

Samatta atajwa katika joto la kutimukia Uturuki kuitoka Aston Villa

Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Ally Samatta ametajwa katika tetesi za kuiacha Aston Villa na kutimkia Uturuki. Mitandao mbalimbali ya...

Buffalo Souljah Kupasua Soko la Jamaika

Nyota wa muziki wa Dancehall, Thabani Ndlovu maarufu kama Buffalo Souljah amesaini mkataba na kampuni ya biashara ya muziki na burudani ya nchini Jamaika,...

MrLambert adondosha mpya sambamba na Video iliyofanyika nchini Marekani

Msanii wa muziki wa kizazi kipya mzaliwa wa Tanzania mwenye makazi yake nchini Marekani, 'MrLambert' ameachia wimbo wake mpya, 'Mhm Aha'. 'MrLambert' ambaye jina lake...

Pitia Ratiba ya Michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara

Pitia kutazama mechi tatu za ligi kuu Tanzania Bara zinazotarajiwa kuchezwa Septemba 12 2020. https://twitter.com/Tanfootball/status/1304658994393423872

LHRC Yaguswa Kusaidia Watoto Yatima kama Sehemu ya Maadhimisho ya Miaka...

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetembelea kituo cha kulea watoto yatima cha Mama wa Huruma kilichopo Madale, Dar es Salaam. LHRC...

Blaise Platii-Na Aingiza Sokoni Album yake ya kwanza, ‘African Love’

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania Mwenye makazi yake nchini Marekani, Blaise Platii-Na ameachia rasmi album yake ya kwanza. Blaise mwenye umri...

Jhehlah achomoza na chupa moto la wimbo wake ‘Short Skirt’

Mwimbaji mkali na mtunzi wa nyimbo za Afro-pop kutoka nchini Nigeria, King Kennedy Oliver aka Jhehlah ameachia rasmi video ya wimbo wake wa kwanza...

Rocky C Kuachia EP yake ya Kwanza, LOVE SESSEION’

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Kenya, Calvin Odiwuor Rocky maarufu kama Rocky C ameweka taarifa ya kuwa ataachia EP yake ya...

Bernard Morrison ashinda shauri dhidi ya Yanga FC

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) imesema mchezaji Bernard Morrison ameshinda kesi yake dhidi ya klabu ya Yanga na ataendelea kuwa mchezaji halali wa Simba...

Willy Paul atangaza Kolabo Kubwa akiwa na Bien wa Sauti Sol

Mwanamuziki mashuhuri wa nchini Kenya, Wilson Abubakar Radido maarufu kama Willy Paul ametangaza mipango wa kuachia wimbo wake mpya aliomshirikisha mwanakikundi wa Sauti Sol,...
- Advertisement -

GOSSIP