Thursday, March 4, 2021

Uncategorized

Jhehlah achomoza na chupa moto la wimbo wake ‘Short Skirt’

Mwimbaji mkali na mtunzi wa nyimbo za Afro-pop kutoka nchini Nigeria, King Kennedy Oliver aka Jhehlah ameachia rasmi video ya wimbo wake wa kwanza...

Rocky C Kuachia EP yake ya Kwanza, LOVE SESSEION’

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Kenya, Calvin Odiwuor Rocky maarufu kama Rocky C ameweka taarifa ya kuwa ataachia EP yake ya...

Bernard Morrison ashinda shauri dhidi ya Yanga FC

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) imesema mchezaji Bernard Morrison ameshinda kesi yake dhidi ya klabu ya Yanga na ataendelea kuwa mchezaji halali wa Simba...

Willy Paul atangaza Kolabo Kubwa akiwa na Bien wa Sauti Sol

Mwanamuziki mashuhuri wa nchini Kenya, Wilson Abubakar Radido maarufu kama Willy Paul ametangaza mipango wa kuachia wimbo wake mpya aliomshirikisha mwanakikundi wa Sauti Sol,...

Mwimbaji wa Injili, Ezekeil John Aachia wimbo wake Mpya ‘You Got...

Mwimbaji wa muziki wa Injili Mtanzania anayeishi nchini Marekani, Ezekeil John ameachia rasmi video ya wimbo wake mpya Uitwao 'You Got Me Dacing'. Wimbo huo...

Mt Number One Baada ya ‘Nduhura’ Arudi hewani na ‘Don’t...

Msanii wa muziki kutoka Burundi mkali wa Afro-Beats anayefanya kazi zake nchini Marekani, maarufu kama 'Mt Number One' ameachia video rasmi ya wimbo wake...

Msanii Wa Nigeria Olakira Aachia Wimbo Mpya ‘in My Maserati’

Msanii nyota wa miondoko ya Afro Pop, Pop na RnB kutoka Nchini Nigeria, Adefemi Ebenezer maarufu kama Olakira Ijumaa ya 26 Juni anametarajia rasmi...

Shazzie Kemz aachia Video ya wimbo ft. Haitham Kim Chini ya...

Msanii wa muziki  kutoka nchini Kenya anayefanya kazi za muziki wake chini ya lebo ya muziki iitwayo 'Levels Creative', Shazzie Kemz amekutana kisanaa na...

Buffalo Souljah aachia Dude Jipya ‘No Man Bigger Than God’

Msanii wa muziki wa Dancehall na Reggae kutoka Zimbabwe mwenye makazi yake nchini Afrika Kusini, Buffalo Souljah ameachia rasmi wimbo wake mpya kwa jina...

Lacreamena kutoa Kongo aanzia Australia chini ya Spark Music

Msanii wa muziki kutoka nchini Kongo mwenye makazi yake nchini Australia 'Lacreamena' ameachia rasmi wimbo wake wa kwanza Chini ya lebo Spark Music kwa jina...
- Advertisement -

GOSSIP