Wednesday, September 30, 2020

Uncategorized

Yangy Aichanganya ‘Quarantine’ Ya Wcb Wasafi Katikati Ya Wimbo Wake ‘Utaniua’.

Staa wa wimbo ‘Utaniua’, Yangy kutoka nchini Kenya ameutupia wimbo ‘Quarantine’ wa wasanii kutoka lebo ya WCB Wasafi katikati ya mfuatano wa maudhui ya...

Rapper Mabeste Aandika Juu Ya Hisia Yake Ya Kutaka Kujiua “kuji...

Rapper kutoka Tanzania, Venance William a.k.a Mabeste ameachia wimbo wake mpya, ‘Back Off’ unaozungumzia sehemu ya Maisha yake ya Mahusaino Mpaka kutoa talaka kwa...

WCB Wasafi Feat Diamond Platnumz, Rayvanny, Mbosso, Lava Lava, Queen Darleen...

Wasanii kutoka lebo ya muziki ya WCB Wasafi wakiongozwa na Mkururugenzi wa Lebo hiyo Diamond Platnumz, wamekutana kwenye wimbo wa pamoja kwa jina, 'Quarantine'. Kwa...

‘ WHO’ Kuifanyia Majaribio Dawa Ya Corona Ya Madagascar

Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina amesema kuwa shirika la Afya Duniani, 'WHO’ limekubali kuifanyia majaribio ya binadamu dawa inayodaiwa kuwa na uwezo wa kutibu...

Rc Makonda Ayataja Maduka yatakayouza Nguo Kwa Punguzo La 80%.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda ametangaza punguzo la asilimia 80 ya bei leo Mei 21, 2020, na kuyataja maduka...

Burundi Yashiriki Uchaguzi wa Mrithi wa Nkurunziza, Mitandao ya kijamii yazimwa

Leo Mei 20, 2020, Unafanyika uchaguzi Mkuu wa kwanza nchini Burundi wa kumchagua Mrithi wa Rais wa nchini hiyo Pierre Nkurunziza. Wananchi wenye vigezo vya...

Jux, Joh Makini, Hanstone, Moni Centrozone na S2Kizzy Waingia Mzigoni

Nyota wa Muziki kutoka Tanzania 'Juma Jux' ameonesha uwezekano wa kufanya kazi ya kushirikiana na mwimbaji Hanstone na Rappers Moni Centrozone na Joh Makini...

Makamu Rais wa Kwanza Sudani kusini na mkewe waambukizwa Corona

Viongozi hao wamepata maambukizi baada ya kutangamana na jopo la ngazi ya juu la kukabiliana na virusi hivyo nchini humo. Taarifa kutoka nchini Sudani Kusini...

Uganda Kugawa Barakoa Kwa Raia Wake Wote

Raia wote wa Uganda kuanzia umri wa miaka 6 watapewa barakoa bure kwa ajili ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona. Rais wa nchini...

Mwimbaji Yangy Apania Kujitegemea Kwanza Kimuziki Kuisoma Vyema Biashara

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Kenya, aliyependelea kujitambulisha kwa jina moja tu la 'Yangy' ameachia video ya kwanza ya muziki kwa...
- Advertisement -

GOSSIP